Hofu ya madawa kuwaangamiza vijana Afrika Kusini | Media Center | DW | 10.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Hofu ya madawa kuwaangamiza vijana Afrika Kusini

Katika eneo la Beacon Valley, Afrika Kusini ukosefu wa ajira, uhalifu na matumizi ya madawa ya kulevya ni mambo yaliyokita mizizi. Kwa watoto wanaoishi eneo hili kuamka na kwenda shule asubuhi ni changamoto. Kundi moja la kina mama linajaribu kubadilisha taswira.

Tazama vidio 01:54
Sasa moja kwa moja
dakika (0)