1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Harusi ya kabila la Wahadzabe

Amina Mjahid
25 Januari 2019

Wahazade ni kabila dogo nchini Tanzania,wanaopatikana katika mikoa ya Manyara na Singida. Jamii hii bado inaishi pembezo. Upekee wa Wahadzabe ni kwenye Harusi zao ambapo Mbali ya Mwanaume kuolewa, lakini yeye ndiye hutoa Mahari na Mahari hiyo haiishi mpaka wazazi wa Mwanamke watakapofariki. Je unajua Mahari hiyo ni ipi? Tazama vidio hii.

https://p.dw.com/p/3CBiU