1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hamas, Israel waanza makubaliano usitishaji mapigano

Mohammed Khelef
21 Mei 2021

Makubaliano ya kusitisha mapigano baina ya Israel na wapiganaji wa Hamas katika Ukanda wa Gaza yameanza kutekelezwa mapema leo, baada ya siku 11 za mashambulizi na mauaji ya kikatili.

https://p.dw.com/p/3tmG4