1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali yarejea kama kawaida Tanzania

25 Mei 2020

Baadhi ya Watanzania wajivinjari fukweni na katika maeneo mengine ya starehe baada ya kuondoshwa marufuku ya janga la corona. Watu washiriki mikusanyiko huku waakionekana kutiochukua tahadhari. Je una maoni gani kwa hali hiyo. Kurunzi.

https://p.dw.com/p/3ckHg