1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Uchumi

Fursa za kibiashara kwenye mikutano ya kimataifa.

Veronica Natalis
20 Juni 2022

Kufuatia mikutano ambayo aghalabu hufanyika mjini Arusha, wajasiriamali wadogo hupata nafasi ya kutangaza na kuuza biashara zao kimataifa. Veronica Natalis anasimulia zaidi kwenye #Kurunzi

https://p.dw.com/p/4Cwt3