1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Flyover ya Tazara nchini Tanzania kufunguliwa mwezi Oktoba

Sylvia Mwehozi
29 Agosti 2018

Ujenzi wa barabara ya juu katika eneo la Tazara jijini Dar es Salaam nchini Tanzania umekamilika kwa asilimia 98 na barabara hiyo inatarajiwa kufunguliwa Oktoba mwaka huu. Papo kwa Papo 29.08.2018.

https://p.dw.com/p/33zob