1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Filamu ya Vuta N'kuvute katika jukwaa la kimataifa

Hawa Bihoga
16 Septemba 2022

Hadithi za kizanzibari katika kusaka uhuru, hajijaishia ndani ya visiwa humo sasa zinasimuliwa katika jukwaa la filamu za kiafrika kimataifa na kuzua mjadala mpana namna wanaafrika mashiriki hao walivyoweza kujikomboa dhidi ya serikali za ukoloni.Tazama video

https://p.dw.com/p/4GzPO