1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fatma Karume: sijali, nitasema tu

Yusra Buwayhid
23 Julai 2018

Rais wa Chama Cha Wanasheria cha Tanganyika Law Society Fatma Karume amesema suala la uhuru wa kuzungumza lipo kikatiba na kwamba hatishwi na vitisho vyovyote vya nchini Tanzania

https://p.dw.com/p/31xEF