Edvesta apokea zawadi yake kutoka DW | Anza | DW | 06.02.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Edvesta apokea zawadi yake kutoka DW

Hatimaye mshindi wa shindano letu kuhusu mchezaji bora mwenye umri mdogo katika ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani, Bundesliga, Edvesta Tarimo, amepokea zawadi yake ya jezi ya timu anayoishabikia - Bayern Munich.

Tazama vidio 00:27