1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DW Kiswahili yazidi kupasua anga la Tanzania

21 Novemba 2022

Idhaa ya Kiswahili ya DW inazidi kupasua anga la Tanzania baada ya balozi wa Ujerumani nchini humo Regine Hess kuzindua urushwaji wa matangazo ya idhaa hii katika radio ya kijamii ya Banana FM iliyopo mji wa Moshi Mkoani Kilimanjaro. mengi zaidi kuhusu uzinduzi huu, tizama hapa. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/4Jp2c