1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DW ilivyotinga kijiji cha Katwe, wilaya ya Buchosa, Tanzania

13 Agosti 2018

Wanakijiji wa kijiji cha Katwe katika wilaya ya Buschosa mkoani Simiyu walipata fursa ya kihistoria pale walipotembelewa na idhaa ya Kiswahili ya DW. Hebu tazama wanavyosimulia mshangao wao katika vidio hii ilioandaliwa na Hawa Bihoga. Papo kwa papo 13.08.2018.

https://p.dw.com/p/335W2