Dakta Abdalla Possi ″Ulemavu si Kilema″ | Masuala ya Jamii | DW | 31.03.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Dakta Abdalla Possi "Ulemavu si Kilema"

Katika mahojiano maalumu na DW Dakta Possi anaelezea maisha yake kama mtu mwenye ulemavu wa ngozi na vipi alivyofaulu kuvikabili vipingamizi vilivyomkabili hadi kufikia alipo hivi sasa katika maisha yake.

Ama kweli "Ulemavu si Kilema". Huu ni msemo ambao umetimia kwa Dakta Abdallah Possi, mlemavu wa ngozi nchini Tanzania. Kwa bidii kubwa aliyoifanya maishani, na bila kujali changamoto zilizomkabili katika jamii, amesomea uanasheria na kufaulu kujiendeleza katika taaluma hiyo kufikia kuwa mhadhiri wa masuala ya sheria katika chuo kikuu cha Dodoma. Kifupi yeye amebobea katika taaluma hiyo, licha ya kwamba ni mlemavu wa ngozi.

Kukisikiliza kipindi bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi:Josephat Charo

Mhariri:Daniel Gakuba

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com