Visiwa vya Comoro vilipata uhuru wake miaka 36 iliyopita kutoka Ufaransa na ndani ya miaka hiyo vimeshuhudia mapinduzi, misukosuko na tishio la kujitenga kwa kisiwa cha Anjouan, huku Mayotte ikisalia Ufaransa.
https://p.dw.com/p/RZmn
Matangazo
Mohammed Abdul-Rahman anaitathmini miaka 36 ya uhuru wa visiwa vya Comoro, changamoto zake na mafanikio yaliyopigwa kwenye visiwa hivyo vya Bahari ya Hindi.
Mtayarishaji: Mohammed Abdul-Rahman Mhariri: Othman Miraji