1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chanjo ya Covid-19 kwa wajawazito

6 Septemba 2021

Kumekuwa na maswali mengi yanayoulizwa kuhusu chanjo ya Covid- 19 hasa kwa wanawake wajawazito, wengi wakitaka kujua ni sahihi kwao kupata chanjo hiyo? Daktari bingwa wa magonjwa ya kinamama na uzazi kutoka hospitali ya Mtakatifu Thomas iliyopo Arusha Tanzania Dr. Julius Msuya, anajibu maswali hayo katika video iliyoletwa na Veronica Natalis #kurunziafya

https://p.dw.com/p/3zyyE