JamiiChangamoto za uzalishaji chakula UgandaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiJohn Juma24.10.201724 Oktoba 2017Kwa muda mrefu Uganda imejulikana kama kapu la chakula kwa Afrika. Lakini sasa inakumbwa na changamoto ya kuwalisha wakimbizi wengi. Je sera yake ya kuwapa wakimbizi ardhi ya kulima, itaisaidia kuinua viwango vyake vya uzalishaji wa chakula?https://p.dw.com/p/2mQSrMatangazo