Changamoto ya maji kwa wanawake Singida | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 07.08.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Changamoto ya maji kwa wanawake Singida

Wanawake wa Singida, nchini Tanzania, wanajizatiti kila siku katika kuendesha shughuli za kimaendeleo. Na kilimo, ni mojawapo ya shughuli wanazozipa kipaumbele katika kujikimu kimaisha. Lakini sasa kuna changamoto kubwa: Maji.

Tazama vidio 02:29