1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chama kipya cha kisiasa chaundwa Tanzania

Sylvia Mwehozi
21 Aprili 2022

Chama kipya cha kisiasa kimeanzishwa Tanzania, kikiwa na lengo la kuendeleza sera na mtindo wa uongozi wa aliyekuwa rais wa taifa hilo John Magufuli. Mwandishi wetu wa Dar es Salaam George Njogopa amefanya mahojiano na mwaasisi wa chama hicho cha Umoja Party ambacho bado hakijasajiliwa, Seif Maalim Seif.

https://p.dw.com/p/4AFEA