Bongo Flava: Sauti za Dar es Salaam | Anza | DW | 23.09.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Bongo Flava: Sauti za Dar es Salaam

Muziki wa Bongo Flava ni maarufu si tu Afrika Mashariki, lakini pia nje ya Afrika. Licha ya umaarufu wake, wasanii wadogo wa Bongo Flava hawana uwezo wa kujipatia kipato kutokana na mauzo ya muziki wao. Hapo ndipo Joseph Kusaga anapoingilia. Anawaedenleza siyo tu kupitia vituo vyake vya redio na televisheni, lakini pia kupitia maonyesho.

Tazama vidio 03:14