Boko Haram bado ina nguvu Nigeria | Masuala ya Jamii | DW | 06.07.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Boko Haram bado ina nguvu Nigeria

Kwa mara nyengine tena, kundi la Boko Haram la Nigeria limejitokeza na kuonesha nguvu zake halisi mbele ya serikali ya nchi hiyo na sasa mashambulizi ya kundi hilo yamekuwa jambo la kawaida kwenye maeneo mbalimbali.

Mashambulizi ya Boko Haram, Maiduguri, Nigeria

Mashambulizi ya Boko Haram, Maiduguri, Nigeria

Othman Miraji anazungumzia kuibuka upya kwa kundi la Boko Haram la Nigeria, ambalo linadai kupingana na mfumo wa kimagharibi, kutaka kuanzishwa kwa dola kamili ya Kiislamu kwenye taifa hilo la Magharibi ya Afrika.

Mtayarishaji: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com