1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Boko Haram

Boko Haram ni kundi la wanamgambo wenye itikadi kali za dini ya Kiisilamu na wenye ngome yao kaskazinimashariki mwa Nigeria. Kundi hili pia linapatikana nchini Chad, Niger pamoja na Cameroon.

Tangu kuanzishwa kwake mwanzoni mwa miaka ya 2000 na Mohammed Yusuf, maelfu ya watu wameuawa kutokana na mashambulizi ya kigaidi wanayoyafanya katika mashule, dhidi ya vikosi vya usalama, na katika mashirika ya serikali na makanisa. Moja ya malengo makuu ya kundi hili ni kuanzisha utawala utakaotumia Sharia za Kiisilamu katika maeneo wanayoyashikilia.

Onesha makala zaidi