1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bobi Wine: Ni lazima nirudi nyumbani Uganda

Sylvia Mwehozi
7 Septemba 2018

Mwanamuziki ambaye pia ni mbunge wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine, amesema ataendelea kutetea wananchi na haogopi kurejea nyumbani. Alizungumza hayo mjini Washington katika mkutano na waandishi wa habari. Papo kwa Papo 07.09.2018.

https://p.dw.com/p/34T9n