″Best Jiongeze Twende Tukapime″ | Masuala ya Jamii | DW | 13.05.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

"Best Jiongeze Twende Tukapime"

Wasichana wanajitokeza kupima hali zao za afya kubaini ikiwa wameambukizwa virusi vinavyosababisha ukimwi katika kampeni iliyopewa jina "Best Jiongeze Twende Tukapime". Uzinduzi ulifanyika Kakola, Kahama, Tanzania.

Tanzania Einweihung Kampagne Test HIV /AIDS Kakola Kahama

Mabinti walioshiriki uzinduzi wa kampeni, kijiji cha Kakola, Kahama, Tanzania

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com