1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern Munich mabingwa DFB Super Cup

Josephat Charo
1 Agosti 2022

Sadio Mane atetemesha kamba huku Bayern Munich ikiipiku RB Leipzig kushinda kombe la Super Cup. Christopher Nkunku na Leah Schüller ndio wachezaji bora wa mwaka wa soka Ujerumani. Bayer Leverkusen na FC Cologne zapigwa kumbo na kutolewa nje ya michuano ya kombe la shirikisho la Ujerumani DFB Pokal. England ndio washindi wa kombe la EURO la wanawake.

https://p.dw.com/p/4EyYL