Baridi ni kali mno eneo la Yakutia, Urusi | Media Center | DW | 18.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Baridi ni kali mno eneo la Yakutia, Urusi

Kiwango cha baridi kimepanda mno katika eneo la Yakutia huko Urusi hata kope zinaganda na kushika barafu. Jacob Safari anakuelezea kuhusiana na hali hiyo ya baridi katika vidio ifuatayo.

Tazama vidio 00:54
Sasa moja kwa moja
dakika (0)