Bajeti mpya ya serikali nchini Tanzania imeanza kutumika leo | Media Center | DW | 01.07.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Bajeti mpya ya serikali nchini Tanzania imeanza kutumika leo

Bajeti mpya ya serikali nchini Tanzania imeanza kutumika leo ambako wananchi wanaanza kushuhudia mfumo mwingine kuhusu maisha yao kutokana na kodi mpya inayoanza kukatwa katika huduma kama matumizi ya simu na huduma nyinginezo ikiwamo ongezeko la kodi katika nishati ya mafuta. Sikiliza ripoti ya George Njogopa.

Sikiliza sauti 02:40