Athari za mabadiliko ya Tabia Nchi Afrika Mashariki | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 05.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Athari za mabadiliko ya Tabia Nchi Afrika Mashariki

Kwenye makala ya Mtu na Mazingira tunaangazia hasa ongezeko la joto huko nchini Tanzania. Ripoti ya mwaka ya Shirika la Utabiri wa Hali ya Hewa Duniani, WMO, imeonesha kuwa nchi masikini ziliathirika sana kutokana na mabadiliko ya tabianchi ulimwenguni. Maeneo yanayotajwa kwenye ripoti ni pamoja na Afrika Mashariki, Asia na Amerika ya Kusini. Msimulizi wako ni Saleh Mwanamilongo

Sikiliza sauti 09:42