1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za homa ya dengue Tanzania

18 Juni 2019

Serikali ya Tanzania inakabiliana na uwepo wa ugonjwa wa homa ya dengue nchini humo ambapo pamoja na vifo kadhaa kumekuwa na idadi kubwa ya watu waliogundulika na virusi vya homa hiyo.

https://p.dw.com/p/3Kd8A