1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Asubuhi Taarifa ya Habari tarehe 21.05.2021

V2 / S12S21 Mei 2021

Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas yaanza kutekelezwa. // Viongozi mbalimbali wasifia na kukaribisha makubaliano ya kusitisha mashambulizi kati ya Israel na Hamas.// Umoja wa Ulaya wakubaliana kuhusu cheti cha kidijitali cha COVID-19 kuruhusu usafiri barani Ulaya.

https://p.dw.com/p/3thVX