1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Asasi kadhaa za kiraia Tanzania, kutofuatilia uchaguzi mkuu

Josephine Tatu Karema / MMT20 Julai 2020

Mashirika ya kiraia nchini Tanzania yameiandikia tume ya taifa ya uchaguzi ya nchi hiyo kutafuta sababu za kuondolewa kwao katika orodha ya makundi yatakayokuwa waangalizi katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa mnamo mwezi Oktoba. Msikilize zaidi Anna Henga, mkurugenzi mtendaji wa kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC.

https://p.dw.com/p/3faZH