1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Anamudu vipi majukumu ya nyumbani na muziki?

26 Agosti 2020

Katika kurunzi wanawake leo, kutana na Jasmin Issa au little P. Ni mwanamuziki wa miondoko ya kufokafoka ama rap kutoka Arusha Tanzania, anabainisha namna anavyoweza kumudu muziki na majukumu ya nyumbani. Video na Veronica Natalis. Kurunzi 26.08.2020

https://p.dw.com/p/3hYGw