1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Amekuwa na ujauzito kwa miaka 11

7 Juni 2019

Mama huyu anadai kuwa amekuwa na ujauzito kwa miaka 11. Mwandishi wetu Veronica Natalis alimtembelea nyumbani kwake katika wilaya ya Arumeru, mkoani Kilimanjaro, Tanzania

https://p.dw.com/p/3K2ks