1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Aina ya kilimo kwa manufaa ya mazingira na wakaazi Pemba

11 Februari 2020

Kisiwani Pemba na visiwa vidogovidogo vilivyoko karibu, mradi wa kilimo misitu au kilimo mseto yaani 'Agroforestry' umeanza kuleta matumaini. Uoto umeanza kurejea, huku wakaazi pia wakifurahia mazao ya shambani. Ni vipi mradi huo unaendeshwa? Tizama vidio

https://p.dw.com/p/3XcUl