ADDIS ABABA: Wanadiplomasia wamekamatwa Ethiopia | Habari za Ulimwengu | DW | 20.10.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

ADDIS ABABA: Wanadiplomasia wamekamatwa Ethiopia

Nchini Ethiopia wanadiplomasia 2 kutoka Ulaya, wamekamatwa na kutangazwa kuwa ni watu wasiotakiwa nchini humo.Wizara ya mambo ya kigeni ya Ethiopia mjini Addis Ababa imesema wanadiplomasia hao watafukuzwa kutoka nchi hiyo. Inasemekana kuwa wanadiplomasia hao,walijaribu kuwasaidia wahalifu kwenda Kenya.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com