ACAPULCO :polisi waingia mtegoni na kuuawa nchini Mexiko | Habari za Ulimwengu | DW | 07.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

ACAPULCO :polisi waingia mtegoni na kuuawa nchini Mexiko

Watu wanane waliokuwa na silaha wamewaua polisi saba kwenye vituo viwili vya polisi katika mji maarufu wa Acapulco nchini Mexico. Washambuliaji hao walikuwa wamevaa sare za jeshi. Walienda kwenye vituo hivyo na kujitambulisha kuwa ni wanajeshi waliokuwa wanakugua silaha.

Polisi kwenye vitu hivyo walisalimisha silaha zao kwa hiari , na ndipo walipoanza kushambuliwa.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com