1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.04.2021 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

30 Aprili 2021

Palestina imetangaza kuahirisha uchaguzi wa bunge uliopangwa mnamo mwezi Mei. Idadi ya waliokufa kwa Covid-19 nchini Brazil yapindukia watu 400,000. Watu 100 wajeruhiwa kwenye mkanyagano uliotokea kaskazini mwa Israel.

https://p.dw.com/p/3slzI