Leo utamsikia mwenyekiti mpya wa Chama cha Muziki wa Dansi nchini Tanzania-Chamudata.Luiza Mbutu. Na Kama ilivyo ada katika Kiswahili kina wenyewe.utasikia kile kinachoelezwa Zanzibar kuwa ni nyumbani kwa Kiswahili na kwenye safu ya je umeipata hiyo, ipo habari ya taharuki ya huko Arusha ya kurushwa mawe kutoka kusikojulikana.