Rais Trump asema mpango wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah umerefushwa kwa wiki tatu // Zelensky aelezea matumaini kuhusu mazungumzo ya Ukraine kujiunga na EU // Na nchi za Afrika Mashariki zajadili ujenzi wa kiwanda cha pamoja cha kuchakata mafuta