Miongoni mwa tuliyokuandalia ni pamoja +++ Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kuzamisha boti za kijeshi za Iran zikilingilia mzingiro uliotangazwa na Washington +++ Kiongozi wa kundi la Hezbollah amepinga mazungumzo kati ya Lebanon na Israel+++ Waziri wa Fedha wa muda mrefu wa Benin ameshinda kiti cha urais wa nchi hiyo.