Miongoni mwa tuliyokuandalia ni +++Rais Donald Trump wa Marekani amesema mazungumzo ya awali ya pili pamoja na Iran ´yananukia´ +++Israel na Lebanon zamekubaliana kuandaa mazungumzo ya ngazi ya juu baada ya maafisa wake kukutana mjini Washington +++Kabla ya PSG na Atletico Madrid zametinga nusu fainali Champions League.