1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.05.2017: Matangazo ya Jioni

21 Mei 2017

Rais wa Marekani Donald Trump atoa mwito kwa mataifa kuungana katika kutokomeza itikadi kali. Shirika la afya duniani, WHO latumia Dola Milioni 20 kugharamia safari za watumishi kwa mwaka na Israel yakataa kuzungumzia makubaliano ya silaha kati ya Marekani na Saudi Arabia.

https://p.dw.com/p/2dL01