18.11.2018: Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 18.11.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

18.11.2018: Matangazo ya Mchana

Umoja wa Ulaya umeieleza Saudi Arabia bado inahitajika kutoa ufafanuzi kamili juu ya mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi., Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron yuko nchini Ujerumani kwa ajili ya kumbukumbu ya miaka 100 ya kumalizika vita va kwanza vya dunia na waziri mkuu wa Uingereza Theresa May asema haoni mpango mbadala kwa makubaliano ya mchakato wa Brexit.

Sikiliza sauti 60:00