Hakuna dalili za mafanikio katika siku ya kwanza ya mazungumzo kati ya Urusi na Ukraine huko Geneva. Iran yatangaza kuufunga Mlango Bahari wa Hormuz baada ya mazungumzo na Marekani. Umoja wa Ulaya kutoa msaada wa kibinaadamu wa dola milioni 96 kwa DRC.