1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Muziki

04.06.2021 Kipindi cha Karibuni

2 Juni 2021

Ungana na Sudi Mnette ambapo pamoja na burudani ya muziki utamsikia mkongwe wa muziki wa Tanzania, Babloom Kisauji maarufu kama Babu wa Tik Tok, na katika safu ya Sadiki Ukipenda utapata majibu ya hoja ya kabila la Wahehe kujihusisha na ulaji wa mbwa.

https://p.dw.com/p/3uLJk