1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zipi athari za kiapo cha Raila?

31 Januari 2018

Baada ya kitendo cha Jumanne cha kuapishwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, mwandishi wetu Caro Robi amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Kenya, Profesa Herman Manyora kutaka kujua athari za kiapo hicho kilichochukuliwa na Raila wakati ambapo viongozi wengine wa muungano wa upinzani NASA hawakuhudhuria hafla hiyo. Sikiliza mahojiano hayo.

https://p.dw.com/p/2rptA