1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zaidi ya waasi 100 nchini DRC wajisalimisha

23 Julai 2021

Zaidi ya waasi 100 kutoka kundi la Mai Mai wa APCLS wamejisalimisha kwa jeshi la serikali ya Jamuhuri ya Kidemokrsi ya Kongo katika wilaya ya Masisi ambako kundi hilo linaloongzwa naye Janvier Karairi linaendesha harakati zao kwa zaidi ya miongo miwili na kuzorotesha usalama wa raia katika maeneo hayo ya Kivu Kaskazini. Sikiliza ripoti ya a Benjamin KASEMBE.

https://p.dw.com/p/3xv0c