1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu wanane wapoteza maisha kwa kuhisiwa kula nyama ya Kasa

8 Machi 2024

Watu wasiopungua wanane wamepoteza maisha na makumi kadhaa wengine wamelazwa hospitali huko kisiwani Pemba kufuatia ripoti kwamba wamekula kiumbe wa baharini aina ya Kasa anayedhaniwa kuwa na sumu. Mkasa huo umetokea katika kisiwa kidogo cha Panza wilaya ya mkoani, mkoa wa kusini Pemba. Rashid Chilumba kazungumza na Mganga Mkuu wa wilaya hiyo Haji Bakari Haji, msikilize.

https://p.dw.com/p/4dJiY