Wanariadha wa Korea Kaskazini wanaotarajiwa kuiwakilisha katika Olimpiki | Media Center | DW | 11.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Wanariadha wa Korea Kaskazini wanaotarajiwa kuiwakilisha katika Olimpiki

Je, michezo inaweza kutumika kuunganisha watu waliogawanyika? Wanariadha wa michezo ya kuteleza katika barafu kutoka Korea mbili zinazovutana za Kusini na Kaskazini wanatarajiwa kusaidia katika kujenga tena urafiki kati ya majirani hao mahasimu wakati wa michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi itakayofanyika Pyeongchang, Korea Kusini.

Tazama vidio 00:55
Sasa moja kwa moja
dakika (0)