Wakimbizi wa Burundi wataka kurudi nyumbani | Matukio ya Afrika | DW | 20.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

siku ya wakimkbizi duniani

Wakimbizi wa Burundi wataka kurudi nyumbani

Wakati Burundi ikitajwa kuwa si shwari kisiasa na kiusalama, wakimbizi wa Burundi katika kambi ya Nduta nchini Tanzania wamefanya maandamano wakishinikiza kurejeshwa nchini mwao. Kambi hiyo ina watu 355,000.

Sikiliza sauti 03:28

Ripoti ya Porsper Kwigize kutoka kambi ya Nduta

             

Sauti na Vidio Kuhusu Mada