Wakimbizi: Maisha mapya Uganda | Mada zote | DW | 31.03.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Wakimbizi: Maisha mapya Uganda

Anayekimbia nchi za jirani kuelekea Uganda anaruhusiwa kujenga nyumba huko, kufanya kazi na akiwa na bahati, anapewa hata kiwanja. Yote hayo ni kwa manufaa ya kiuchumi na kisiasa.