Wakaliwood ni Hollywood ya Uganda | Media Center | DW | 03.04.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Wakaliwood ni Hollywood ya Uganda

Wakaliwood ndiyo Hollywood ya Uganda. Katikati mwa Wakaliga, kitongoji kilicho katika mazingira duni katika mji mkuu wa Kampala, Isaac Nabwana amekuwa akitengeneza filamu kwa bajeti ndogo kwa miaka 8. Hivi sasa ni nyota wa kimataifa. Filamu zake zinatazamwa sana Youtube, hata waigizaji wa Hollywood walitaka kushiriki. Waganda wanaanza kugundua kwamba zipo filamu zilizotengenezwa nchini mwao.

Tazama vidio 03:10
Sasa moja kwa moja
dakika (0)